RAJ PATEL JR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 743
- 169
Nyie wote mnaoshabikia hayo sio wazalendo. Mnataka kuhama nchi mkajenge uchumi wa nchi nyingine?
Nadhani wewe ndio utakuwa na matatizo haswa. Kwani mtu unapopewa nafasi kwa nini ukose kuitumia. isitoshe kama mtu una malengo yako utajua nini cha kufanya pindi ukishinda na kuja huku mbali na kusoma iwapo kama mtu atataka. Kuna kitu kinaitwa "exposure" na sijui kama unatambua umuhimu wa kuwa nayo. Mfano hai; hivi kuna watu wangapi raia wa Tanzania wanaosoma Uganda South Africa na Kenya? Na unajua wanalipa ada ya aina gani? Je, unajua kuwa kuna tofauti katika tuition fees kama ukipata residency permit na ukienda tu bila hiyo permit! Greencard is simply a permit. Kwa kuwa wewe hauna exposure haimainishi wengine wanyimwe habari hii maana hakuna tofauti ya ku-apply for greencard na ku-apply for scholarships. Nyingi ya scholarships kama si zote ni foreign, je, does it mean hatuna uzalendo ku-apply scholarships za wageni tunazoletewa nchini? It seems you have a negative attitude about certain things.
Wacha upumbavu wewe, huo uchumi wa kuujenga Tz ni upi?watz wapo milioni zaidi ya 30. Kama kujenga nchi jengeni nyie mnaoichagua CCM.ebo.Nyie wote mnaoshabikia hayo sio wazalendo. Mnataka kuhama nchi mkajenge uchumi wa nchi nyingine?
Applying for scholarships and green cards are 2 different things, we can not put them together. Watu wanaopata scholarship wanaenda kusoma na wakimaliza wanatakiwa warudi kwao kwa mujibu wa VISA zao. Lakini ukipata green card haulazimishi kurudi kwenu kwenda kujenga nchi yako. Hakuna haliyekukataza kutuma maombi ya green card. Ila elewa uzalendo wa mtu mwenye scholarship na mwenye green card na tofauti. Mmoja anaenda kusoma na kurudi kutumia elimu yake kwa ajiri ya Tanzania na mwingine anatumia elimu yake kwa ajiri ya USA.
Mimi nina scholarship na niko USA kwahiyo hiyo exposure unayozungumzia ninayo na ninajua tofauti yake. Mimi hapa nikimaliza masomo yangu natakiwa kurudi TZ, ila mwenye Green card sio hivyo.
Wacha upumbavu wewe, huo uchumi wa kuujenga Tz ni upi?watz wapo milioni zaidi ya 30. Kama kujenga nchi jengeni nyie mnaoichagua CCM.ebo.
Mimi sina matatizo na scholarship, tatizo langu ni malengo ya greencards. Umeandika mengi sana ila bado haujanishawishi kuwa kuomba greencard ni uzalendo. Mimi ni mzalendo na baada ya kumaliza masomo yangu nitarudi kwetu Tanzania kujenga nchi. Hao wote wenye malengo ya kukimbia nchi za watu na kuishi uko katika maisha yao yote si wazalendo. Undio maana scholarship zinatangazwa na serikali yetu pia lakini serikali yetu haitangazi greencard.Hivyo usiwe na mawazo negative kuhusu scholarship, greencards etc.
Uzalendo nilidhani CCM iliupiga marufuku? au? wewe bana wacha kuwafanya watu wajinga. Watu wa kwanza waliokosa uzalendo ni CCM kwa kuwaibia watz mchana kweupe na bado kuwaghilibu ili waendelee kuwaibia tena mpaka 2015 halafu wewe unakuja na ngonjera zako za greencard. Hivi unajua uzalendo ni nini kwanza? au unadhani uzalendo ni kuishi tz? kama ni kuishi tz wewe mbona unasema hupo huko? au kwa sababu wewe huwezi ku-apply unataka kuwazibia wengine?Mimi sina matatizo na scholarship, tatizo langu ni malengo ya greencards. Umeandika mengi sana ila bado haujanishawishi kuwa kuomba greencard ni uzalendo. Mimi ni mzalendo na baada ya kumaliza masomo yangu nitarudi kwetu Tanzania kujenga nchi. Hao wote wenye malengo ya kukimbia nchi za watu na kuishi uko katika maisha yao yote si wazalendo. Undio maana scholarship zinatangazwa na serikali yetu pia lakini serikali yetu haitangazi greencard.
Wadau msimsikize huyu SENENE
Sasa kashifa na matusi ya nene? Toa hoja zako bila kutukana au kukashifu watu.