Ozzanne Issakwisa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 288 Reaction score 241 Mar 7, 2016 #1 Wakati ninajisajili kwenye time zone nikawa natafuta Dar es Salaam. Bahati nimeona UTC +3:00 ila ina Nairobi, Bagdad n.k. na kuisahau Dar es Salaam, kitu ambacho tumekizoea katika mitandao ya nje. Kulikoni hata sisi watanzania kusahau mji wetu?
Wakati ninajisajili kwenye time zone nikawa natafuta Dar es Salaam. Bahati nimeona UTC +3:00 ila ina Nairobi, Bagdad n.k. na kuisahau Dar es Salaam, kitu ambacho tumekizoea katika mitandao ya nje. Kulikoni hata sisi watanzania kusahau mji wetu?