Reginald Mengi imarisha ITV

Azam inaelekea kuwa mshindani mkuu wa itv, mzee Mengi achukue maoni ya wadau hapa ili afanye maboresho ya kuifanya itv iwe ya kisasa zaidi.
 
 
Nchi hii ITV, ni wakongwe ktk tasnia ya habari luningani.. hakuna kituo cha kushindana na ITV, hata wakiwa na quality mbovu kiasi gani ya picha! Walishajijengea jina, na kuaminika, ndio maana watu hawaachi kuwatizama kila leo!

AZAM TV, watasubiri sana, fanya research ujue ni watanzania wangapi wanaangalia AZAM tv, then ndio ulinganishe na ITV. Azam tv uwalinganishe na Channel 10...

Mmesahau kuwa ITV NA EATV ndio vituo bora vya luninga East Africa (Super brand) kwa miaka mitatu mfululizo. Sasa cjui nyie mnatumia nn kuanalysi hili jambo. Kukatika kwa matangazo, hata CNN, BBC, SKY NEWS, n.k huwa zinakatika kutegemeana na hali ya hewa.

Pamoja na yote hayo, ITV boresheni huduma zenu.
 
Ni kweli asee Mzee mengi wekeza zaidi kwenye mitambo..mbona pesa unayo tatizo nini?
 
Acheni izo kwani matatizo mlikua hamyaoni ila baada ys kuzingua kwenye mkutano wa ukawa ndo liwe tatizo
 

Hapana, ITV imezidiwa na AZAM kwa sasa, sema Azam watu wengi hawaipati hewani kwa kuwa hayupo kwenye visimbuz kama Star times. Ni ombi kwa Azam Media moja ya TV zake za habari basi aiweke kule Startimes ili ateke soko zaidi. Asiweke zile za michezo, aweke ile ya habari itamsaidia sana!
 

wengi wanaoangalia ni kutoka kskz sikiliza matangazo ya vifo radio ONE
 

Imezidiwa kwa lipi, kinachomata ni watazamaji? Sio quality ya picha.. ITV na EATV ndio vituo vinavyopendwa na kutizamwa zaidi East Africa.....
 
 

hizi sifa ulizotoa balaa sasa mangi unataka mengi aboreshe nini tena.
 

Dalili ya anguko kubwa kwa mgombea wako
Only Makufuri can change Tz.
 
Jembekillo.Ukiwa na swala lisilohusiana na mada husika inayojadiliwa tafadhali usiingilie mada za watu. Hapa ktk jukwaa hili hatujadili ushirikina bali tunajadili issues za kujenga Taifa. Ulichokileta wewe hapa mada ya mvuto ni ushirikina na inaonekana huna hata hofu ya mungu kwa kupost mambo ya ajabu humu ndani. Wewe tenda mema tu watu watakupenda na kukuthamini na kamwe usihusudu ushitikina. Pepo wewe ushindwe
 
Ni aibu mengi unashidwa hata na star tv? Alafu unadai ww tajir , utajir gani wa mashetani huo mengi
 

Acha uongo, tangu lini EATV ikashinda super brand? zaidi ya ku claim kwamba the number one youth channel slogan ambayo wamejistukia na wameiacha..mzee mengi afanye maboresho na uwekezaji ..wakiendelea na dharau zao watasanda..Azam ni serious investor!
 


Nadhani humjui vizuri Tido. Ila ni suala la mda tu utajua ukweli, sasa hivi azam tv wanampango wa kujitanua kurusha matangazo yatakayokua yanacover nchi za maziwa makuu na Kassim Kayila amesharipoti kutoka bbc kwa ajili ya kuanza kazi hiyo. Azam tv inalenga ndani na nje ya tanzania na ndani ya miaka mitano itakua imeshakamata soko kubwa ndani ya nchi za maziwa makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…