Reginald Mengi imarisha ITV

Malilambwiga

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
485
Reaction score
296
Nakuandikia waraka huu kwa kutambua kuwa kituo cha luninga cha Itv ndicho kinachoangaliwa na idadi kubwa ya wananchi.

Kwa sasa kituo hiki kinachukuliwa kama luninga ya Taifa baada ya ile ya Taifa kushindwa kutimiza wajibu wake kwa jamii na kujipambanua kama luninga ya ccm.

Kinachonisukuma kukuandikia waraka huu ni kukuomba uwekeze ktk kuimarisha kituo hiki kwa vifaa vya teknolojia ya kisasa na wataalam.

Inaniuma kuona Itv ikishindwa kurusha matangazo ya moja kwa moja kama inavyoonekana leo ktk matangazo ya kampeni ya Ukawa huko Mbeya.

Matangazo yanakatika hii ikiwa ni ishara ya kukosekana uwekezaji wa kutosha. Kituo hiki kina umri mkubwa na hata studio zake hazifanani na umri wake.

Kwa kuwa kituo hiki bado ni tegemeo kubwa kwa watanzania ni vyema juhudi za makusudi zikafanyika kukiimarisha ikiwa ni pamoja na kununua kamera za HD. Nawasilisha tafadhali.
 
Quality ya picha zimenikumbusha enzi TV stations zinaanzishwa TZ. Jambo la muhimu isiwe tu ni planned event!
 
Inawezekana na yeye ameathirika na Udhaifu wa lowasa maana mpaka sasa hakuna alichofanya katka kampeni pamoja na juhudi za wananchi kumuunga mkono kWa wingi
 
yaani itv hakuna lolote inabore sana,anazidiwa na star tv
 
Safi na natumai mzee wetu ataliona hili na kulitendea kazi haraka iwezekanavyo
 

yaani Leo wameboa sana. sasa kwani waongee na azam TV waunge kwao
 
naunga mkono hoja itv wamechoka mzee anatakiwa kuwekeza vinginevyo mabadiliko hayatakuwa na matokeo chanya kwake!
 
ITV wanabugi sana hadi wameamua kukata kabisa matangazo
 
Leo ITV aibu tupu. Mpaka nimezidiwa hoja ndani na kulazimishwa kumuangalia Magufuri Star TV.
 
Kati ya itv na star tv ipi ni bora kwa kuonesha matukio live???Nauliza tu wakuu.
 
Natumai mu-wazima kabisa.
Haya, kama wanavyosema watu kuwa "JASIRI
HAACHI ASILI" kwa hiyo si vibaya tukiendelea
kuangalia vile vitu ambavyo vinapatikana katika
ASILI YETU YA KIAFRIKA na kutokukubali kuwa
WATUMWA kwa sababu tu "MSAHAU/MKATAA
KWAO NI MTUMWA" sasa basi tusiwe
WATUMWA kwa kukataa vya kwetu na
kudumisha MILA ZA WENZETU na ndio maana
wenzetu wamekuwa wakiendelea kwa sababu tu
wamekuwa wakidumisha MILA zao vile
inavyotakikana kuliko kutukuza MILA ZA
WENZAO.
Sasa leo kuna hii dawa ambayo inajulikana
kama MVWAZA au AZMAH, inaweza ikawa
umeshawahi kuiskia labda, au kuambiwa
pengine au hata kuitumia pia, labda inaweza
ikawa inajulikana kwa jina jingine kwenye kabila
lenu yawezekana lakini kwa mimi naifaham
ikijulikana kwa jina la MVWAZA au AZMAH.
Dawa hii inatumika kunako mambo kadha wa
kadha kama nilivyokwisha dokeza kunako
kichwa cha habari hapo juu kuwa, inatumika
kuleta mvuto kwa mtu, kama ulikuwa ni mtu wa
kuchukiwa na watu ama kutokupendwa tu bila
sababu yoyote basi watu wakatokea
kukuchukia, dawa hii kazi yake ni kukuongezea
mvuto kwa kiasi kikubwa mno.
Wataalam wanashauri unapokuwa na dawa hii
inatakiwa kuwa makini sana hasa na jinsia
tofauti kwa sababu unapoinuia basi yenyewe
hufanya kazi kama vile ambavyo umeinuia, hasa
kwenye suala la mvuto kwa mwanamke
utakuwa ni mwenye mvuto mno kwa jinsia ya
kiume na pia kwa mwanaume huamsha sana
hisia za mvuto kwa jinsia ya kike na vinginevyo.
Dawa hii kazi yake nyingine ni kupumbaza mtu
ambaye utamkusudia kwa lengo maalum,
mathalan ; Natumai mtakuwa mmeskia labda
mtu akitafutwa na polisi na utakuta polisi
anakufaham na mkapishana kabisa pasina
shaka yoyote bila ya kukukamata.
Au utakuwa umeskia labda mtu ana kesi
mahakamani, pengine ni kesi kubwa tu ambayo
kwenye mazingira ya kikawaida inakuwa ni
ngumu kuchomoka, lakini kwa dawa hii ni
jambo la ajabu sana ambalo utaweza
kushangaa na utaskia mtu mwenye kesi husika
akishinda kesi au akaachiwa huru kuonekana
kuwa hana hatia au akashinda kesi kwenye
mazingira ya kutatanisha kabisa.
Dawa hii pia inaweza kumpumbaza mtu akiwa
dukani au hata njiani na ukamuamuru mtu
husika afanye jambo fulani labda unaweza kuwa
umeskia kuwa mtu ameuziwa hata kipande cha
chupa akiambiwa kuwa ni ALMASI na asielewe
mpaka pale anapokuwa ameachana na huyo
aliyemuuzia ndipo anapokuja kugundua kuwa
alichouziwa si kitu ambacho alichokuwa
akikitarajia kuwa ndio hicho.
Yani unapoitumia inakuwa kama inampumbaza
au kumfunga mtu husika hata kwenye kuongea,
ni wewe tu ndiye unakuwa ukiskilizwa.
Wengine wamekuwa wakiitumia kuwapumbaza
watu kwa kutumia labda pesa bandia kwa
kumpa mtu wa dukani au pengine hata m-pesa
au tigo pesa then utakuta mtu anakuja
kugundua baadae kabisa kuwa alizopewa ni
pesa bandia, na anaweza akagundua ndio lakini
bila ya kujua ni nani aliyemkabidhi pesa hizo
feki.
Kwa kifupi ina mambo mengi sana na uwezo wa
ajabu kabisa. Hiyo ndiyo MVWAZA au AZMAH
wapo wengi wakiitumia dawa hii na pengine
waweza kuwa umeiskia au kuambiwa mahala,
au labda na jina linaweza kuwa ni tofauti ila
kazi zake zinaweza kuwa ni kama hii kwa
asilimia 100, sasa sjui kwa kwenu mtakuwa
mnaiitaje lakini kwa mimi naifaham ikijulikana
kwa jina la AZMAH.
Dawa hii inawafaa wanafunzi kwa sababu
itawarahisishia maisha ya chuoni mfano huna
hela na ada unadaiwa basi ukisema tu sina
wanakupa muda wa kutafuta. yaani jina lako
litatamba popote hakuna kudisco yaani full
kufaulu.
tumeanza ofa yetu itadumu mwezi mmoja,kwa
mawasiliano zaidi tutafute kwa namba
0718151415
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…