Kwani Mussa alipoenda mliman kusali alipochelewa kurudi nini kilifanyika? si alikuta wana wa israel wengine wamejitengenezea Mungu wao na kumkacha Mungu wa Musa! Na mwishoni picha kikaishaje...?
hawaendi popote UKAWA watatanza kupoteana tuu, wale wapiga dili now ndo wamewatawala waliokuwa wanajiita makamanda. Wao ni dili tuu na sisi ni kazi tuu alafu maendeleo bora
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo
Leo nimepiga simu na kuongea na ndugu zangu huko vijijini,nimewashawishi ndugu zangu 10 ,na watampigia kura lowasa.Ninaendelea kutumia simu kuongea na kutext kwa jamaa na marafiki kila kona ya nchi.Mtu mmoja kutoka sio kitu.kila mtu mwezi huu awasiliane na jamaa zake ,kweli inafanya kazi nimeona.CCM LAZIMA ATOKE MADARAKANI SAFARI HII,KILA MTU NI MWAMASISHAJI
Kuna mtu aitwaye Reginald Mengi ambaye ni Mkurugenzi wa IPP Media? Huyo atakuwa mgeni hapa nchini, Reginald Mengi aliyepo ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, huyo wako atakuwa pale Lumumba!
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo
AK 47 anatumia magufuli inaitwa 'kazi tu! na mabadiliko bora' wakati EL ana gobole linaitwa 'elimu elimu elimu' (maana yake wafuasi wa ukawa mnahitaji sana mpewe elimu).Eti mafuriko na mabadiliko(kutaka kuitoa ccm bila sera za msingi) mmechemsha maji yenye OMO yakitokota ni povu hahahaa. sisi ni mbelee kwa mbelee