Regina Daniels(18), Living her best life with her 59 Billionare husband .

Anaitwa Regina Daniels alias Regina the Sixth.

Amepewa a.k.a ya Regina the Sixth mara baada ya kuolewa kama mke wa sita na Ned Nwoko ambae ni Mwanasiasa, Mwanasheria na Mfanyabiashara Bilionea nchini Nigeria.


Regina Daniels ambae ni muigizaji katika kiwanda cha movie cha Nollywood huko nchini Nigeria ,amezaliwa tarehe 10 October mwaka 2000 na Ned Nwoko amezaliwa mwaka 1960.

Hii ina maana kuwa Ned Nwoko anamzidi Regina Daniels kwa miaka arobaini.


On the prima facie u can tell that familia ya Regina the Sixth imekubali binti yao mwenye umri wa miaka kumi na nane aolewe kama mke wa sita na mwanaume anaemzidi kwa umri wa miaka arobaini kwa sababu ya umasikini.


Ni umasikini na ufukara wa familia ya Regina the 6th ndio ume wa push kufanya maamuzi kama hayo.

Ned Nwoko asingekuwa Bilionea familia ya Regina isingeweza kumtoa binti yao.


Umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini ni laana.

Jamani tuzitafute pesa. Tusikubali kuwa masikini.

Umasikini ni ukafiri.

Umasikini ni uovu.

Umasikini ni ukosefu na upungufu wa akili kwa sababu pesa na mali zinatafutwa kwa kutumia akili ndio maana mfalme Suleimani alisema " Hekima ya masikini haisikilizwi" kwa sababu huwezi kusema una hekima kama wewe ni maskini. Umasikini na hekima haviwezi ku co exist

Tulikemee pepo ovu la umasikini
Ila kweli...utasenahe una hekima na huku umezingirwa na umasikini
 
Wote wana matatizo, huyo mzee akubali tu ku share mwanamke na vijana wenye umri chini ya watoto wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom