Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
wewe subiri utasikia hata kwenda msibani wamelipana posho
aiseee:rant:
Mi nadhani ni utamaduni tu ameutumia wa kumsifu mtu akishaenda mbele za haki.
wewe subiri utasikia hata kwenda msibani wamelipana posho
Mi nadhani ni utamaduni tu ameutumia wa kumsifu mtu akishaenda mbele za haki.
Si kweli. Taswira kama hizi msibani hazituunganishi.Re: Regia ametuunganisha - Makinda
Jamani mkuki usiwe kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Lini CCM wamegundua si busara ku-politicize msiba kama huu wa Ndugu yetu Regia? Tashwira kama hizi hupamba shughuli zote za CCM ikiwa ni pamoja na zile zinazogharimiwa na kodi zetu yaani kuvalia mabango ya CCM kupamba majukwaa kwa rangi za CCM, na hata kuimba nyimbo za kutukuza CCM huku wakitumia vifaa na magari yanayogharimiwa kwa kodi zetu. Iweje leo iwe ni haramu kwa wanachadema kuvalia magwanda na kupamba bendera ya cama chao tena katika kumzika kada wao? Tuwe serious, tuache unafiki.Si kweli. Taswira kama hizi msibani hazituunganishi.
Hakuna hata kiongozi mmoja mwenye busara ndani ya CHADEMA kuwaambia please don't politicize the funeral?
Kwa hiyo moral compass yenu mnaipata kutokana na kile wanachofanya CCM? Basi nyote hamfai, mna politicize misiba.Jamani mkuki usiwe kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Lini CCM wamegundua si busara ku-politicize msiba kama huu wa Ndugu yetu Regia? Tashwira kama hizi hupamba shughuli zote za CCM ikiwa ni pamoja na zile zinazogharimiwa na kodi zetu yaani kuvalia mabango ya CCM kupamba majukwaa kwa rangi za CCM, na hata kuimba nyimbo za kutukuza CCM huku wakitumia vifaa na magari yanayogharimiwa kwa kodi zetu. Iweje leo iwe ni haramu kwa wanachadema kuvalia magwanda na kupamba bendera ya cama chao tena katika kumzika kada wao? Tuwe serious, tuache unafiki.