Reggae huwa inanipa punguzo la stress za life. Huwa inakuja peace nikiwa naskiza hizi ngoma zenye ujumbe wa uhalisia. Na ndio maana ukiskiza Reggae kama itakuwa nyimbo ya mapenzi basi hawa jamaa walikuwa na maneno ya kihisia kabisa kabisa. Yaani unaona kabisa love iko karibu ya macho yako haswaa.
Ukija kwenye ngoma zinazohusu maisha yetu yenye kujawa unyama, shida, maradhi dah hawa masela walikuwa wanafunguka mpaka basi, ukifanya masihara unaweza kutokwa na machozi. Vp kuhusu nyimbo za iman kwa mungu dah yaani noma ni kama vile unaweza ukaanza kukesha makanisani ulale hukohuko.
Kuna ngoma huwa zinanipa mizuka kama vile,;
Holly Place - senzo
I'll be there - senzo
Private beach party - Gregory isaacs
Night nurse - greogory
Mr cop- gregory
The way it is - lucky
How will i know - lucky
Hands that giveth- lucky
Red wine - ub 40
Kingstone town -ub40
Stir it up -bob
Buffalo soldier (bob unaweza kuweka zote maana si mchezo)
Mjomba Alpha blondy na ngoma zake kama sweet fantadialo naikubali sana
Make we dweet - burning
Sweet lalala .- inner circle
Kwa kifupi manyimbo mengi nikianza kutiririka hapa basi tutakesha.
Chamsingi kama hebu nisaidieni kujua kifo cha huyu bw SENZO huwa najribu kujua mambo mengi ya huyu mwamba maana kuna vitu navikosa kuhusu yeye