Referee katika wasifu huwa ni mtu gani?

Referee katika wasifu huwa ni mtu gani?

Presida2020

Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
31
Reaction score
3
Jamani naomba kuuliza, referee katika wasifu huwa ni mtu gani?
Je, referee yuleyule anaweza kufit katika job application mtu anapoomba.

Msaada please
 
refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa

rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu)
 
ASANTE SANA KWA KUNIELEWESHA
 
Back
Top Bottom