ASHERI N.J
New Member
- Jun 18, 2012
- 2
- 0
Ninaomba ufafanuzi na uhakiki wa jambo hili kuhusu BVR Cards. Hivi kuna ukweli wowote kwamba kwa BVR cards za sasa, mtu anaweza kujiandikisha Kata X na akawa sawa kuchagua viongozi katika Kata Y? Nasema hivi cos yamenikuta na nikajiandikisha kuondoa usumbufu ingawa nina wasi wasi sana na kauli za wale waandikishaji...
Nawakilisha.
Nawakilisha.