Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,220
- 44,194
Hii redmi note 12, ina Amoled display, processor ya kisasa isiotumia umeme mwingi hivyo itakaa na chaji, Camera hatujajua bado tusubiri reviews.Kwa 500k,simu ipi ni nzuri ukizingatia camera,kukaa na chaji na display
Kwa bei yake sidhani kama utapata simu yenye Amoled display, 120Hz refresh rate, 5000mAh na SD 4 gen 1Hii redmi note 12, ina Amoled display, processor ya kisasa isiotumia umeme mwingi hivyo itakaa na chaji, Camera hatujajua bado tusubiri reviews.
Simu ya kwanza kutoka na Sd 4 Gen 1 ni Iqoo Z6 lite bei around laki 4 ila haina Amoled, hii Redmi note 12 ni $189 aliexpress around 440,000. Pengine mpaka zikija Avechi na Tigo bei ikawa chini zaidi.Kwa bei yake sidhani kama utapata simu yenye Amoled display, 120Hz refresh rate, 5000mAh na SD 4 gen 1
Hiyo S22 Ultra inakalishwa na Xiaomi 12S Ultra so hamna haja ya kuhama brand, suala ni kununua simu ya juu zaidi ila brand ileile XiaomiAchana na redmi.tafuta Hela ununue [/color] s22 ultra au iphone 14 [/color]
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Bei ya kawaida mkuu sio kitonga, A13 5G na simu nyingi lowend zina hio soc. Utamiss mambo mengi ukichukua hii Badala ya Note 12, Amoled display, 120hz refresh rate, Soc ya kisasa Sd 4 gen 1 ambayo inakaa sana na charge etc.Ivi wakuu mbona Redmi note 11E pro 5G bei ni kitonga sna ? Via AliExpress ni around 422,000 to 424,000.
Kwa variaty ya 6, 128.
Ila ni Global ROM
Je 5G band ina support bongo?
Kuna mtu ashawahi kuiagiza tusije ingia cha kike[emoji23]
Bei ya kawaida mkuu sio kitonga, A13 5G na simu nyingi lowend zina hio soc. Utamiss mambo mengi ukichukua hii Badala ya Note 12, Amoled display, 120hz refresh rate, Soc ya kisasa Sd 4 gen 1 ambayo inakaa sana na charge etc.
Sd 695 ni better kuliko 4 gen 1,Mkuu hii ni SD 695
Na nimejaribu kuangalia review zake ipo slightly better than 4 Gen 1.
Ni midrange SOC
Bei ya kawaida mkuu sio kitonga, A13 5G na simu nyingi lowend zina hio soc. Utamiss mambo mengi ukichukua hii Badala ya Note 12, Amoled display, 120hz refresh rate, Soc ya kisasa Sd 4 gen 1 ambayo inakaa sana na charge etc.
Wewe simu ikishakuwa na MediaTek tu ndio basi tena[emoji23][emoji23]Pro iko poa ila ina MTK [emoji28][emoji28]