Upande wa camera naona wame downgrade kidogo kwa sasa amna ultra wide camera na macro pia haiwezi kuchukua video za quality kama note 10 na 11Ukitoa sd card ambayo imetolewa hio simu ni nzuri sana compare na waliomtangulia kwanini unasema ina specs za kawaida?
Macro ni Gimmick mkuu, subiria review tuone how wide camera hii ipo, unaweza kuta camera hii ika perform vizuri kuliko zilizopota. Iliopita ina camera 4 ila mbili zilikuwa kujaza idadi.Upande wa camera naona wame downgrade kidogo kwa sasa amna ultra wide camera na macro pia haiwezi kuchukua video za quality kama note 10 na 11
Chief kwa nn hatuwapi kipaumbile hawa xiomi naona bidhaa zao ni bora sana niliagiza note 10 sikujutia kuitumia leo naona mtandaoni wamezindua electric backup portable na yenye uwezo mkubwa au wao ndio hawajafanya marketing kubwa barani Africa?Macro ni Gimmick mkuu, subiria review tuone how wide camera hii ipo, unaweza kuta camera hii ika perform vizuri kuliko zilizopota. Iliopita ina camera 4 ila mbili zilikuwa kujaza idadi.
Model ya Biashara ya Xiaomi wanauza online, nadra sana kukuta wana Store kama unavyoona kina Vivo, Samsung, Tecno etc.Chief kwa nn hatuwapi kipaumbile hawa xiomi naona bidhaa zao ni bora sana niliagiza note 10 sikujutia kuitumia leo naona mtandaoni wamezindua electric backup portable na yenye uwezo mkubwa au wao ndio hawajafanya marketing kubwa barani Africa?
MTK kwa sasa yuko vizuri na hizi chip zake za dimensity kwa sasa anayo hiyo chip ya flagship dimensity 9200 ina nguvu hata chip iliopo kwenye galaxy S22 snapdragon 8 gen 1 inakalishwaPro iko poa ila ina MTK
dimensity 9200 ni unreleased soc ya mwakani, pengine tarehe 8 mwezi huu ndio inazinduliwa, ita compete na sd 8 gen 2, hivyo kui compare na sd 8 gen 1 si fair.MTK kwa sasa yuko vizuri na hizi chip zake za dimensity kwa sasa anayo hiyo chip ya flagship dimensity 9200 ina nguvu hata chip iliopo kwenye galaxy S22 snapdragon 8 gen 1 inakalishwa
Mkuu naomba kuuliza. Nje ya samsung na iphones kuna simu gani nyingine nzuri inayokaribiana ukubwa wa kioo na betri ya xhaomi max3?dimensity 9200 ni unreleased soc ya mwakani, pengine tarehe 8 mwezi huu ndio inazinduliwa, ita compete na sd 8 gen 2, hivyo kui compare na sd 8 gen 1 si fair.
pia bado sana kwa mtk ku compete highend, simu zao zinamiss mambo mengi compare na snapdragon.
Tecno pova series, Infinix note Series, lenovo Legion series, Xiaomi blackshark 3 pro, Zte Axon series, Huawei Mate 20X, Honor X30,Mkuu naomba kuuliza. Nje ya samsung na iphones kuna simu gani nyingine nzuri inayokaribiana ukubwa wa kioo na betri ya xhaomi max3?
6.9 display 5000 battery ? Price?
Mate 20x inavigezo ila ya 2018 za hivi karibuni naona wanabania size za vioo sanaTecno pova series, Infinix note Series, lenovo Legion series, Xiaomi blackshark 3 pro, Zte Axon series, Huawei Mate 20X, Honor X30,
Inategemea na budget na mahitaji yako.
Kwa 500k,simu ipi ni nzuri ukizingatia camera,kukaa na chaji na displayTecno pova series, Infinix note Series, lenovo Legion series, Xiaomi blackshark 3 pro, Zte Axon series, Huawei Mate 20X, Honor X30,
Inategemea na budget na mahitaji yako.
Hio Honor X30 ni ya 2021 si mbaya, na kama una hela hizo gaming phone kama Blackshark na Legion zipo poa.Mate 20x inavigezo ila ya 2018 za hivi karibuni naona wanabania size za vioo sana