Redio za Tanzania na BBC

BBC inanikera sana, kwa maana ya propaganda za wamagharibi na masilahi yao. Ukisikiliza BBC lazima habari za Magaidi kuchinja watu huko zikiwa katika headline. Vipao mbele vyao ni koponda nchi ambazo viongozi wao hawapatani na mataifa ya Magaribi kama Zimbabwe, Sudani , Middle East nk

Kulugha nyepesi hivi vyombo vya habari vya Magharibi zinatuzidishia UTUMWA wa KIFIKRA
 
Very true ulichokisema
 
kwanza radio stations zote zinafanaa vipindi asubuh wote magazetini baadae vipindi vya taarabu na kubishana saa saba mziki mpk saa kumi habari tena vipindi vile vile kma vya asubh na kubishana ucku wote mahaba yaan utadhani producer hua ni mmoja wanakera.
 
penitentiaries

Wewe naona umevurugwa sana tu,pili kama umetumwa waambie waliokutuma kuwa wasikutume tena kuja kupima maji kwa mguu
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana ukawa na mawazo mazuri ila uwasilishaji wako...hasa pale mwanzo umeonesha kutokujiamini.

Eti ni heri vituo vya matangazo vijiunge na tbc,huyu jamaa naona ni mtoto wa nkamia
 

Hapo kwenye mawingu umeharibu kabisa
 
nusu mshale,nusu suluale,nusu bob marley hahaha.. kudu ncha duncha! mwanzo mwisho ni full kidele na minesooo..tumechoka!
 
unategemea nn watangazaji kma kibonde, dida, MC pilipili Benny kinyaiya, maimatha zembwela....
 
Vyombo vya habari vina mission na vission zao, ni vigumu kwa mission za Clouds media kukuta watangazaji wako serious sana na mambo ya siasa kwa sababu wao wamejikita katika kuburudisha jamii.
 
Hata huu uzi sidhani kama utazidi kurasa mbili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…