penitentiaries
Member
- Jun 15, 2015
- 73
- 9
kumbe ni wivu unakusumbua!!? sasa mada yako hapa ni nini? kuhusu TBC au umaarufu wa lara 1 na Heaven on Earth?hata hao wanawake ambao ni popular kama lala1 na heaven on earth ambao hata waki comment au kutoa post ya kipuuzi wanapewa 5 kwa sana na comments lukuki they were once Junior members just like me.Naamini ipo siku na mm ntakuwa popular hapa JF na ntabadiliki akili ndogo km hizi zenye mlengo wa kudhalau Juniors.Young boyz make men
kumbe ni wivu unakusumbua!!? sasa mada yako hapa ni nini? kuhusu TBC au umaarufu wa lara 1 na Heaven on Earth?
It is absolutely ulichosema, bila kubadilisha mindset za watu hata ukibadilisha programu za matangazo unaweza kuishia kusikiliza mmiliki peke yake.Wao wanafanya vipindi ambavyo wasikilizaji wanapenda.... utawawekea wabongo news na uchambuzi muda wote hiyo redio utaskiliza mmiliki tu
It is absolutely ulichosema, bila kubadilisha mindset za watu hata ukibadilisha programu za matangazo unaweza kuishia kusikiliza mmiliki peke yake.
Ukifanya research utagundua kuwa zile radio zinazopendelea kutangaza mambo ya udaku ndiyo zinakuwa na wasikilizaji wengi.
Panda kwenye madaladala, almost 90% ya madereva wana-tune radio yso ya udaku ya 'mawingu'
Vivyo hivyo kwenye magazeti, yale yanayoandika mambo serious 'yanadoda' kwenye vibanda vya magazeti, wakati yale ya udaku yanayoandika mambo ya 'vyumbani' mwa watu yakiwa yanagombewa vituoni, hasa hasa na kina dada.
Kwa hiyo la muhimu ni kuanza kuwabadilisha kwanza wananchi fikra zao ili waone madhara ya kuendekeza mambo ya udaku na umuhimu wa kuzingatia mambo ambayo ni serious kwa maisha yao.