Redio za FM zinaajiri watangazaji wasio na taaluma

utasikia me ni double d sijui ni na nini lakini sidhani kama taaluma anayo Zaidi ya kujiita double d
Bongo ukishajua kupiga domo cv tosha
Ukijua kuongea Ujing Ujing mwng basi redio fm unakula shavu

Ova
 
Bongo ukishajua kupiga domo cv tosha
Ukijua kuongea Ujing Ujing mwng basi redio fm unakula shavu

Ova
kama ndgu yako yule loveness dava bwana..naskia kaacha kazi mkuu..sijui atafanya kazi wapi tena maana mmhh alivokuwa anasifia pale mmhh kazi ipo....mwaka tutaona mengi
 
Vituo vya redio soon vitakuwa kama bongo movie. Mwanaume mvaa hereni na binti mwenye makalio makubwa ndio mastar
kweli kabisa unadhani bongo movie haikufa siku moja ni matokeo ya muda mrefu sana ndo shida inaazia hapo aisee..kiukweli wanahtaji mjadala mzito sana kwenye hili
 
Kiukweli kumekuwa na kuongezeka kwa redio za FM sasa kila mtu anaajiriwa humo bila utaratibu kiasi kwamba kila MC, msanii wa movie, mwanamuziki (kasoro chura) wengi ni weupe vichwani hata kusoma ni tatizo achilia mbali kuchambua mada au kutema yai.

Mhe. Waziri peleka ule muswada bungeni wa kila mtangazaji angalau awe na digrii ya kwanza/ Bachelor toka chuo kinachotambulika.
Cc. MC Pilipiliiii
Degree ya chuo gani? Tumaini? Au?
 
Kuna haja ya kuanzisha bodi ya waandishi wa habari kama ilivyo bodi ya wahasibu, bodi ya wakandarasi na bodi ya manunuzi na ugavi. Kazi ya bodi hiyo itakua ni pamoja na kusimamia ubora na shughuri za utoaji habari pamoja na kutoa mafunzo.
 
Huu mwaka ndio mwisho wao mzee mwakyembe enzi za uwaziri wake walipitisha sheria ya kiwataka wanaotangaza wawe ni wataaluma ya habari ...ndio maana sasa iv watangazaji wengi wale ambao ni makanjanja wapo busy na xul walau tu certificate
 
Mmejichanganya sana!
Utangazaji ni kipaji na sio elimu!
Mnafikiri kila mtu anaweza kuongeaongea
Acheni wapige kazi
Utangazaji ni kipaji,Ila ni vema kipaji hicho kikaenda sambamba na elimu,Mana wanasema kipaji bila elimu ni sawa na bure
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa EFM waliwachukua kina Steve Nyerere, Kingwendu, Roma, Mpoki na wapuuzi wengine kwa vigezo vipi. Yaani jamaa kwanza hawajitambui na zéro kichwani na ni wapotoshaji wakubwa. Nchi za wenzetu hii station inachukuliwa hatua kali za kisheria kwa upotoshaji, watangazaji wengi wa hizi redio ni wa kukamatwa na kuulizwa walisoma wapi kama hawana elimu ya utangazaji watiwe ndani.
 
Hao ni comedian mzee sio kila kitu ni kukichukulia serious tu......
 
Huu mwaka ndio mwisho wao mzee mwakyembe enzi za uwaziri wake walipitisha sheria ya kiwataka wanaotangaza wawe ni wataaluma ya habari ...ndio maana sasa iv watangazaji wengi wale ambao ni makanjanja wapo busy na xul walau tu certificate
Nchi ngumu hii..
Hakuna hata mmoja alieenda shule
 
Mi naona Hilo ni kutaka kuwaonea Tu hao wamiliki WA hizo redio , maana Kama msikilizaji anaona redio flani sio nzuri , kwann hasisikilize redio nyingine , kingine redio za FM nyingi zimeegemea zaidi kwenye michezo na burudani , hivi kujua wachezaji mpira , mfano lunyamila , Dennis wise , Tony Adams ,Eric cantona , Mbappe , etc inahitaji degree ? au kujua nyimbo nzuri Kama za kina bonjov, Chicago , the Scorpion , MC hammer , etc inahitaji degree ? Hivi kwani waliojariwa benki wote wamesomea banking and finance au uhasibu ? Let's be realistic
 
Back
Top Bottom