Redio Free yaanza hujuma dhidi ya wanasiasa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,839
20,285
Leo kwenye DW baada ya habari kulikua na marudio ya ule mjadala kuhusu njaa ambao ni marudio unaorushwa na DW ile kuanza matangazo wamekata matangazo kwa maksudi baada ya mjadala ndo wamerudi hewani
Hiki kituo hakifai kabisa
 
Back
Top Bottom