Haipo mkuu hapo ni sawa ya kutaka kugeuza gari itembee kwa maji lazima ubadiri na engine na mambo mengine redio isiyotumia data ni hardware issueAseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
"Samsung S8 active" pia haina radio.Samsung model gani?
Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
Download App Ya Next Radio, Inafanya Kazi Kwa Hizo Cm Zisizokua Na Pre Installed Fm Radio App, Inaoptions Zote 2, Online Na Offline Radio.Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
Download App Ya Next Radio, Inafanya Kazi Kwa Hizo Cm Zisizokua Na Pre Installed Fm Radio App, Inaoptions Zote 2, Online Na Offline Radio.
Ukiweka Hiyo App Itafanya KazIna maanisha hii simu inayo hardware ya Radio?
acha ujinga, iyo app haitawezafanya kazi offline mpaka simu iwe na fm receiver chip,Ukiweka Hiyo App Itafanya Kaz
Alaf Siku Nyingne Uache Upimbi Wa Kunitukana, Sasa Wew Kwa Akili Zako Za Ufala Unafikiri Hiyo Samsung S8 Haina Hiyo Receiver?acha ujinga, iyo app haitawezafanya kazi offline mpaka simu iwe na fm receiver chip,
hii ni hardware , sio kila simu ina iyo fm rec. chip,