Redio 93.7

Redio 93.7

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2,547
Reaction score
874
Naomba kujuzwa kuna hii redio inaburudisha mziki mwanzo mwisho hata imenihamisha kusikiliza redio nyingine inaitwaje najua ni 93.7 mwenye kuijua anijuze tafadhaali
 
Naomba kujuzwa kuna hii redio inaburudisha mziki mwanzo mwisho hata imenihamisha kusikiliza redio nyingine inaitwaje najua ni 93.7 mwenye kuijua anijuze tafadhaali

hiyo e fm.....yuko dj majay fo shizo wako pale kwenye jengo la k net kama unakwenda msasani beach club..jamaa wanajua kpiga ngoma balaaaa
 
Yupo Pia the grampaa anko sam,yule mtaala wa R.f.a.
Pia mzee kitime ndan
 
Mmiliki wa hhii redio ni nani ? Ameshaifunika clouds kwa mbali sana. akianza rasmi clouds itakua makumbusho
 
Nasikia ni ya yule mama aliekuwa akiendesha club maisha baada ya mr kufariki mama na mtoto ikabidi wagawane so mama aanzishe redio na mtt kuendeleza club amenijulisha rafiki uangu mda c mrefu.
Mmiliki wa hhii redio ni nani ? Ameshaifunika clouds kwa mbali sana. akianza rasmi clouds itakua makumbusho
 
najua unajua ila ni vema ukijua zaidi.mkude simba ni muigizaji maarufu kwa jina la kitale,yule anaye igiza mlevi wa unga.
 
Hiyo miziki inatukumbuka na sisi Wa nusu karne au ni kwa Wake Wa robo karne tu?
 
mkuu ni kweli wako vizuri, radio ni matangazo then, mafanikio yatakuja kiulaini
 
Back
Top Bottom