njaa ukiiendekeza nndio inakushusha hadhi km hivyo,mbona wako watafiti wengi wanaojitambua hawakufanya hivyo wala hawwawezi kufanya ujinga huo.wajue baada ya 2015 km watabaki na hivyo vyeo walivyopewa zawadi kwa utabiri wa kupika data/ na si utafiti

unaweza kusema hivyo ukiiendekeza , lakini Professor mzima akiangalia mshahara wake noma anashindwa na mbunge ,
mungu hamjui , hakumbuki siku amekunywa bia, anaota DDC afanye nini?? na ameangushiwa dau , si atalinyakuwa tu na kutoa data wazitakazo wazee wa chama ???
REDET Mpango wa Elimu ya Demokrasia na Utafiti (REDET) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, katika matokeo ya utafiti wa kisiasawalijitahidi kuwa wanatoa taarifa .
Kwa sasa chombo hiki kimekuwa kimya. Tunaomba kirudishwe.

Hawa si walikuwa wanatumiwa na ccm wauaji kuwahadaa watanzania, sasa wameona maji ya shingo wamekuwa kimya. ila najua wanajipanga tym zisogee waingie tena ulingoni kuipamba ccm mbovu ambayo hata ununue maua ya aina gani HAIPAMBIKI. Ukiona kimya hivyo ujue, upande waliokuwa wanaupamba umelemewa.
Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
kwamfano hakielimu ikiamia kwenye siasa itakuwaje?mi napendaga tu yale matangazo yao..kama lile Sidanganyiki...em tupia mfano wa tangazo ambalo wange litoa kuhusiana na siasa...