MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 353
jamani ndugu zangu ninaomba tuwemakini sana mana ule ugonjwa wa macho maarufu kama RED EYES umezuka tena.
hivyo ninachokutaarifu jikinge na kushikana shikana mikono na watu na pia sehemu zinazoshikwa na watu wengi kwamfano kwenye daladala lilechuma tunaloshika na kwenye ngazi tunapopanda na pia PESA ambazo kondakta alizoshika na kukupa.
hivyo tuwemakini sana RED EYES IS BACK laa siivyo tutakuwa tunavaa miwan na tunatembea na vitambaa kilasehemu kama tunamisiba ya taifa