Red Brigade ya CHADEMA vs Red Brigade ya Italy

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,874
Kwa wale ambao hamjawahi kusoma kuhusu red brigade ya Italy nawaomba mpitie hapa na muweze kuunganisha dots.
Red Brigades - Wikipedia

The Red Brigades (Italian: Brigate Rosse [briˈɡate ˈrosse], often abbreviated BR) was a left-wing[1] paramilitary organization, based in Italy, responsible for numerous violent incidents, including assassinations, kidnapping and robberies during the so-called "Years of Lead".

Formed in 1970, the organization sought to create a "revolutionary" state through armed struggle, and to remove Italy from the North Atlantic Treaty Organization. The Red Brigades attained notoriety in the 1970s and early 1980s with their violent attempts to destabilise Italy by acts of sabotage, bank robberies, kidnappings [2] and murders.[3]

Je kuna uhusiano wowote na hii ya CHADEMA!? Tuunganishe dots kuhusu chama cha CHADEMA kubadili bendera yake. Hii hapa ndiyo bendera ya RED BRIGADE ya Italy
Flag_of_the_Brigate_Rosse.svg.png
 
Acha kucoppy Google we we walishasema wakina mwigulu kitambo
Ninakutaka ujibu tofauti ya hii ya CDM na ile ya Italy ni nini? Nataka kujua tu ndugu yangu naomba nieleweshe.
 
Ninakutaka ujibu tofauti ya hii ya CDM na ile ya Italy ni nini? Nataka kujua tu ndugu yangu naomba nieleweshe.
Hii ya hapa ilianzishwa na Dr slaa maana yeye pia alipokuwa Italy alijifunza kuhusu hao mabwana
 
Hii ya hapa ilianzishwa na Dr slaa maana yeye pia alipokuwa Italy alijifunza kuhusu hao mabwana
Kwahiyo Chadema wameachana nayo au bado wanaendelea kuwa nayo!!? Maana matukio yanayoendelea yanashabihiana na Red Brigade ya Italy.
 
Back
Top Bottom