galaxy bebito
Member
- Feb 11, 2014
- 5
- 1
Hivi wadau nilisikia waziri wa ajira akizipiga marufuku kuendelea na kazi ya uwakala wa ajira.
Je ni kweli kwa sasa unaomba direct katika makampuni? Mfano voda..au ndio atill kina Erolink wapo?
Je ni kweli kwa sasa unaomba direct katika makampuni? Mfano voda..au ndio atill kina Erolink wapo?