Luther samwel
Member
- May 20, 2020
- 85
- 43
Porojo nyingi ila watalii kwa mwaka Ni milion 1 Licha ya vivutio vyote hivyo.
Sisi ni matajiri ila watu wasiokuwa na kazi hawalipwi unemployment benefits. South Africa watoto wanalipwa Rand 3000 na wazee kuanzia miaka 50 unalipwa Rand 15,000 kila mwezi Kama posho ya kujikimu.
Sisi bongo Licha ya kujitapa matajiri wazee hawapew lolote shida tu... Vijana wasio na ajira hawapew unemployment benefits.
Kinachowezekana Ni propaganda tu
nonsenseTanzania ni:
1.Nchi ya 4 duniani kwa kukosa furaha
2.Nchi pekee duniani yenye uthubutu wa kufanya ufisadi nje ya mipaka yake(ufisadi across borders-refer TZS billion zaidi ya 70 za kupambana na COVID-19 vile zilipigwa) lakini hujitamba kuwa ni kiboko wa kupambana na rushwa.
3.Ni nchi pekee duniani ambayo wananchi wake hawana amani moyoni na wapo tu kama magoigoi
4.Ni nchi pekee duniani kudai kuiondoa Corona kwa maombi ya siku tatu
5.Ni nchi ya kwanza duniani iliyoweza kugundua virusi vya Corona kwenye oil,mapapai na kwenye vyuma
6.Ni nchi pekee duniani inayoamini katika demokrasia ya wizi wa kura
7.Ni nchi pekee duniani ambayo wananchi wake wanaamini kuwa kutetea haki zao ni kitendo cha aibu na ni kitendo cha kituko
8.Ni nchi pekee duniani ambayo huwaita na kuwakejeli wadau wake wa maendeleo kuwa ni mabeberu
9.Ni nchi pekee ambayo huamini kuwa ni matajiri sana na wana uwezo wa kuwa donar country lakini wamo katika nchi kumi masikini zaidi duniani
10.
nimejithibitishia kuwa wa pili kidunia kwa tourism world forum na wizara ya utalii TanzaniaSina hakika na kuwa ya pili kwa vivutio.
Angalia takwimu zako...tusiwe kama wakenya maana hawana tofauti na wasanii wa Bongo fleva kazi yao kuongeza 000.
Kati ya maajabu 7 ya Afrika...Tanzania tuna ma 3.
1. Serengeti National Park.
2. The Mighty Kilimanjaro.
3. Ngorongoro Caldera....
Na wananchi wasiojitambua wanapatikana tanzania1.ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani kote baada ya Brazil
2.makao makuu ya jumuiya ya Afrika mashariki
3.makao makuu ya shirika la posta duniani Arusha
Nchi ya tano bora kwa idadi ya watu Afrika ya sita south Afrika
Serengeti ni hifadhi bora Afrika
Nchi ya kwanza kwa amani Afrika mashariki
Nchi ya kwanza afAfri mashariki kwa kupambana na rushwaa
Nchi pekee Afrika inayotumia lugha yake yenyewe kiswahili
Jiji kubwa sana Afrika mashariki lipo Tanzania
Jiji la kidiplomasia Afrika lipo Tanzania
Na mengine mengi ambayo yanapatikana katika tovuti ya wikipidia ya ukurasa wa Tanzania
Acha upumbavu wako hapa nimetoka south africa juzi naongea ninachoongea.Mkuu namna rasilimali zinavyotumika hilo ni suala lingine... na sio langu wala lake tu.
Ni la kila Mtanzania.....
SASSA inamlipa nani hizo elfu 15000 na elfu 3000 mkuu? Ni over 60 if am not mistaken.
Hao watu wakipata hizo pesa nakuhakikishia kwa maisha ya hovyo wanayoishi hapatakalika...nadhani watoto kila mmoja ni chini ya R800 wazee ni less than R1.5.
But mwisho wa siku lengo sio kukurekebisha...ishu ni South Africa wameendelea kutuzidi...ila haituzuii kuisifu na kuipenda nchi yetu.....na maendeleo ya nchi ni ya kila mmoja.
[emoji706][emoji706][emoji706]nonsense
Tanzania haiwezi kuwa hata top ten kwa Utalii duniani. Tanzania haijaizidi Mexico, Brazil, Egypt, China, Australia na nchi nyingine nyingi. Hapo ni vivutio tu bado kuna idadi ya kutembelewa ambapo idadi ya wanaotembelea jiji la Paris kwa ajili ya kitalii ni wengi kuliko wanaotembelea Tz.nimejithibitishia kuwa wa pili kidunia kwa tourism world forum na wizara ya utalii Tanzania
Ethiopia pia inatumia lugha yake yenyewe Amharic.1.ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani kote baada ya Brazil
2.makao makuu ya jumuiya ya Afrika mashariki
3.makao makuu ya shirika la posta duniani Arusha
Nchi ya tano bora kwa idadi ya watu Afrika ya sita south Afrika
Serengeti ni hifadhi bora Afrika
Nchi ya kwanza kwa amani Afrika mashariki
Nchi ya kwanza afAfri mashariki kwa kupambana na rushwaa
Nchi pekee Afrika inayotumia lugha yake yenyewe kiswahili
Jiji kubwa sana Afrika mashariki lipo Tanzania
Jiji la kidiplomasia Afrika lipo Tanzania
Na mengine mengi ambayo yanapatikana katika tovuti ya wikipidia ya ukurasa wa Tanzania
Sio mbere bali mbeleTanzania tuna mengi ya kujivunia saana... tutembee vifua mbere.
Hatujilinganishi na kuyadharau mataifa mengine ila Tanzania ni nchi bora Duniani.
Majinga Kama haya ndio yanapewa yaongoze nchi mkuu,Tanzania haiwezi kuwa hata top ten kwa Utalii duniani. Tanzania haijaizidi Mexico, Brazil, Egypt, China, Australia na nchi nyingine nyingi. Hapo ni vivutio tu bado kuna idadi ya kutembelewa ambapo idadi ya wanaotembelea jiji la Paris kwa ajili ya kitalii ni wengi kuliko wanaotembelea Tz.