habari wakuu,hii kwa yule ambaye yupo serious/dreams za kuwa na RECORDING studio au MULTIMEDIA(mobile studio), tunaweza shirikiana tufanye kitu kwasababu ninauzoefu na shughuli hizo(recording & graphics designing). Na tayari ninamikakati ya kuRUN hii biashara.