Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,037
- 13,456
Hizi zinapatikana wapi mkuu?Kama una budget ya TZS 100K chukua Fifine K669 USB Microphone ila kama unahitaji ya bei chini ya TZS 20K chukua zile za kuweka kwenye T-Shirt: Portable Clip-on Lapel Lavalier Microphone.
Kwa proven mics za bei nzuri angalia bidhaa za blue, blue yeti around laki 2 na snowball around laki 1.Habari wakuu,
Nataka niwe narecord audio mbalimbali kwa ajili ya podcast/ YouTube video. Ni microphone gani nzuri na cheap naweza kutumia.
Nimejaribu hii ya simu naona hata haina quality.
Nimepata mwongozo
Ahsante Chief,Ahsante Sana. Hizo lavaliere ni Bei gani Kama unajuaKwa proven mics za bei nzuri angalia bidhaa za blue, blue yeti around laki 2 na snowball around laki 1.
Blue yeti
Snowball
Hizi zote ni usb mic plug and play hazina haja na sound card wala setup yoyote inayohitaji utaalamu.
Kuwa makini na lavalier na mic nyengine zinazotumia port ya Earphone, unaweza ona review nzuri youtube ila wale ni pro na wana mislead wana expensive sound card zinazoboost power kwenye mic, port ya kawaida ya mic haina uwezo wa kutoa umeme mwingi kama usb.
Kama budget ni ndogo sana lavalier zipo mtaa wa uhuru na msimbazi ama msimbazi jengo la simba maeneo yale yapo maduka kibao ya mic.
Chini ya 50,000 mkuu mpaka around 10,000 zipo, ukifika jina maarufu ulizia mic kama za msikitini kwa pale uhuru,Ahsante Chief,Ahsante Sana. Hizo lavaliere ni Bei gani Kama unajua
Ahsante Ila sipo huko Dar niko Namtumbo huku nitaangalia nikienda Songea Town nilikosea pale nitamuagiza mtu hukoChini ya 50,000 mkuu mpaka around 10,000 zipo, ukifika jina maarufu ulizia mic kama za msikitini kwa pale uhuru,
Zile za Sony? Wanauza laki 4 na nusu kama sijakosea, zipo nyingi nyingi si unajua wabongo mmoja akiwa na kitu wanaigana. Cheki msimbazi jengo la simba kwa nyuma.Hivi zile za wireless zinazotumika na online TVs huwa zinapatikana hapa bongo? Na ni bei gani?
Shukrani mkuuZile za Sony? Wanauza laki 4 na nusu kama sijakosea, zipo nyingi nyingi si unajua wabongo mmoja akiwa na kitu wanaigana. Cheki msimbazi jengo la simba kwa nyuma.
Weka ulizonazo na Bei yakeKaribu kariakoo ukiihitaji zaid nifate
Sent from my iPhone using JamiiForums