Recorded lectures

Mimi binafsi nimenufaika sana na recorded lectures za Dr Najeeb hasa kwenye Physiology, Pathology, Biochemistry na Pharmacology kiasi

Hii ni system nzuri sana ingawa nakubaliana na wewe kuwa haiwezi kuwa substitute ya the real class lecture
Hivi mkuu kule kwenye website yake malipo yake yapoje dr najeeb ?

Naenjoy sana kumsikiliza amenisaidia sana jamaa.

Au naweza kupata video zake zOte youtube ?
 
Mkuu safuher acha kufukua makaburi basi...😛
Hahaha mkuu huyu mzee ni mtaalamu sana.

Anasemaga kwamba "kama utashindwa kupata basic concepts za medicine basi utajifunza medicine kwa mateso sana,lakini ukiwa na zile basic concepts utajifunza kwa furaha sana na kwa kuenjoy kabisa"

Mambo ya medicine magumu usiombe umpate mtu ambae hajui kufahamisha.
 
Dr najeeb ni moja kati ya malecture wenye shule kubwa sana kwenye field ya medicine.
PHYSIOLOGY, MICROBIOLOGY,na BIOCHEMISTRY zimelala hapo.
Jamaa anakupa zile basic concepts.

Ongezea na Hawa;
1.Ninja nerd
2.priyanka sachdev(pathology)
3.kenhub med
 
Hiyo nzuri, wanafunzi hutofautiana sio kila mmoja anauwezo wa kushika points zote darasani.

Inafanyeje kazi au unatakiwa uwe na vitu gani ili kurecord?
 
Hiyo nzuri, wanafunzi hutofautiana sio kila mmoja anauwezo wa kushika points zote darasani.

Inafanyeje kazi au unatakiwa uwe na vitu gani ili kurecord?
Hata mimi nimetamani kujua
 
Ingia YouTube, search Aina ya lecture unayoitaka then watakuletea machaguo mbalimbali kuhusiana na aina ya lecture unayoutakaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…