Hello JF,
Sijui wanachuo wangapi wana laptop na access to internet,
Kuna system nimeiona ya kurecord lectures,
Lecturer anakua recorded akifundisha,
Halafu inawekwa kwenye system ,mwanafunzi ana retrieve wakati wowote,
Inasaidia sana kwenye revision na watu waliomiss vipindi kutokana na sababu mbali mbali,
Ofcourse sio substitute ya ku attend lectures,sababu ukiwa darasani unaengage na watu mbalimbali,inakupa good student experience.
But,kama lengo ni kumfanya mwanafunzi awe competent it doesn't matter his/her learning style...he/she might as well study through this method........
Kuna watu wanaingia darasani basi tu,lol