Recognition ya vyuo vilivyosajiliwa na wizara ya elimu.

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wadau ninaomba kuelimishwa juu ya kiwango cha kutambuliwa kwa vyeti vinavyotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na wizara ya elimu au maliasili na utalii nk, Hapa nataka kutofautisha na vyuo vilivyosajiliwa na NECTA. Nawasilisha
 
Hi...napenda kufaham kati ya chuo cha st joseph na jordan vinavyopatikana mkoa wa morogoro ni kipi kimesajiliwa na nacte na nikizur kuanzia na certificate???
 
Back
Top Bottom