manking JF-Expert Member Feb 8, 2014 1,306 316 Mar 17, 2016 #2 Mbona tuna upungufu wa magari ya zima moto nahisi akija tanzania atasaidia sana. pia akifundisha watu wengi ataongeza ajira.
Mbona tuna upungufu wa magari ya zima moto nahisi akija tanzania atasaidia sana. pia akifundisha watu wengi ataongeza ajira.
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 35,969 40,813 Mar 17, 2016 #3 Hapo ameiaga familia nyumbani kuwa "nakwenda kazini" ajira hizi....!
Planett JF-Expert Member Mar 20, 2014 10,470 16,121 Mar 17, 2016 #4 Hiyo natural gas si inaweza kumtoa kabisa hiyo