Jifunze kwanza kuandika kwa usahihi, Record management, nna wasiwasi na six yakoWana JF naomba msaada hv ni chuo gan kikuu naweza kusomea RECORDS MENEGMENT baada ya fm six??ukiachana na vyuo vya utumishi wa umma??msaada kwa mwenye anajua..!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jifunze kwanza kuandika kwa usahihi, Record management, nna wasiwasi na six yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ford six ndio unaandika "RECORDS MENEGMENT" tena unasema unataka uende chuo kikuu na sio vyuo vya kawaida?!
kwani we unafahamu mzumbe ngapi?Mzumbe ya wapi mkuu inatoa hiyo??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Si unajua kuna Mzumbe Campuses ya Morogoro, Mbeya na Dar es salaamkwani we unafahamu mzumbe ngapi?
ushaambiwa mzumbe..so fanya kutafuta mwenyewe ujue ni mzumbe ya wapi..usipende kutafuniwa kila kitu kijanaSi unajua kuna Mzumbe Campuses ya Morogoro, Mbeya na Dar es salaam
Mzumbe wao wanaita Bachelor of Public Administration-Records and Archives Management (BPA-RAM), Utumishi wa umma wanaita Bachelor Degree in Records, Archives and Information Management na SUA wao wanaita Bachelor of Information and Records Management