Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mtia nia wa ubunge Jimbo la Mkinga mkoani Tanga kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Wakili Msomi Recho Kiogwe, amesema historia ya kudai mabadiliko ya kisiasa nchini ni ndefu na haikuwahi kuambatana na ususiaji wa chaguzi, hivyo anapinga hoja ya kususia uchaguzi kwa kisingizio cha kudai ‘reforms’.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza siku ya Jumapili katika mkutano wa hadhara katika mwendelezo wa Operesheni CHAUMMA for Change (C4C), mkoani Tanga, Recho amesema kuwa madai ya marekebisho ya kisiasa yamekuwepo tangu miaka mingi iliyopita na kupitia Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba, lakini hakuna wakati kuliletwa ajenda kususia chaguzi kama njia ya kudai mabadiliko hayo.