yah,jamaa mkali!!anaelezea sehemu ambazo zipo kabisa tena maeneo ambayo tunayafahamu!Tuwa alisababisha mimi na jamaa zangu fulani tupigwe na bumbuwazi baada ya kubaini kuwa ukiwa kwenye mataa kama unaenda bibi titi(just before) ile njia ya kwenda movenpick* serena, lile jengo unalotazamana nalo pale mataa kuna neno;
'The RickShaw'.
Siku natoka kusoma hadithi halafu nikaenda town nilitaka kugeuza pale maana niliogopa mno.
Tuwa anatisha aisee.
Nikipita kule posta ya zamani kwenye masanduku ya posta, nakuwa nina wasiwasi na yule dada mwenye ninja aliyempiga Tigga bonge la kabali*(si kabali ila kama ngumi) ya shingo na kuchukua kile kifurushi.
Tuwa anatisha aisee.
huko nilipokuelekeza nae ni admin,so unaweza kumu inbox au kuchati nae ukampa mawazo mbalimbali,anastahili,mkali sanaMkuu asante sana kwa taarifa. Ngoja nifanye mchakato. Jamaa angefungua hata account twitter tumfollow. Mimi nitajitolea kusambaza nakala na kumarket hadithi zake sababu kwa jinsi alivyo mtunzi mahiri, ningependa wengine wafurahie pia.
si kwa ubaya
kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi
kila nikimwangalia huyu dada natamani niendelee kumwangalia hamu haiishi
kwa kweli shes food to my eyes
nywele sio ndefu kivile licha ya uchotara wake (am not sure kma ni chotara)
kwa kweli huyo receptionist she is killing me softly
najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa
kwa jinsi alivyo nikolea nimesha mpiga picha bila yeye kujijua naingaliaga usiku
kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo
mwisho nadedicate wimbo wa pusha by lloyd ft lil wayne maalum kabisa kwake
nite nite JF