receptionist wa equity bank

Namjua huu binti kikweli nilifungua ac hapo equity kwaahili yake kwakweli she is cute jamani.
 
Hehehhehe...ahahahha...... ndio maana naogopaga kuomba chemba na wadada wa humu.....hahahha.....du.

My sweet doctor,who wanted to examine me.........,then he vanish .......and left an empty

hole without being examined...........
 
My sweet doctor,who wanted to examine me.........,then he vanish .......and left an empty

hole without being examined...........

DearPatient......i feel sorry to leave your hole empty without examined.........thereason is, you didn't fill in my appointment box.......hereby pleasefind below on your left side attached form "SendPM" , open it and pleasemake sure you put your mobile number so I can get back to you for timeconfirmation.........I'll be waiting.
 
buku????
Your thinking is so cheap
bila shaka mshahara wako ni laki 2.5

Who's cheap btn you n me!?Mshahara wangu unaniwezesha kumchukua huyo demu unayemuona wa maana bila kuja kulialia jf.Utakuwa umetoka kijijini wewe.Hujaona,wazuri bado...wa kwanza kukutana nae aliyepaka poda akakufanya uombe kazi ya usafi hapo benki.Ni-PM namba yako nikupe tour ya mjini!!
 
Binti kaumbika mvuto wake si wa kawaida.


Namjua huu binti kikweli nilifungua ac hapo equity kwaahili yake kwakweli she is cute jamani.
 
Last edited by a moderator:
Hussein Hassan Tuwa, hadithi zako nazikumbuka mpaka kesho!
njoo face book,Tuwa kaanzisha kona ya riwaya!tafuta kona ya riwaya,kuna mafundi wa hadithi huko wanakimbiza mbaya!tigga mumba,aliteseka sana
 

kamchukue
 
haaah! Kiwa! mambo niaje? yaani ukiweka tengu. mwisho wa jina lako umenitaja.

Mkuu unanipaga shida sana kwenye notification,........ mentioned kiwa.... huwa najua ni mimi kumbe kiwatengu.
Aman kwako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hussein Hassan Tuwa, hadithi zako nazikumbuka mpaka kesho!
njoo face book,Tuwa kaanzisha kona ya riwaya!tafuta kona ya riwaya,kuna mafundi wa hadithi huko wanakimbiza mbaya!tigga mumba,aliteseka sana

Mkuu asante sana kwa taarifa. Ngoja nifanye mchakato. Jamaa angefungua hata account twitter tumfollow. Mimi nitajitolea kusambaza nakala na kumarket hadithi zake sababu kwa jinsi alivyo mtunzi mahiri, ningependa wengine wafurahie pia.
 
Hussein Hassan Tuwa, hadithi zako nazikumbuka mpaka kesho!
njoo face book,Tuwa kaanzisha kona ya riwaya!tafuta kona ya riwaya,kuna mafundi wa hadithi huko wanakimbiza mbaya!tigga mumba,aliteseka sana

Tuwa alisababisha mimi na jamaa zangu fulani tupigwe na bumbuwazi baada ya kubaini kuwa ukiwa kwenye mataa kama unaenda bibi titi(just before) ile njia ya kwenda movenpick* serena, lile jengo unalotazamana nalo pale mataa kuna neno;
'The RickShaw'.

Siku natoka kusoma hadithi halafu nikaenda town nilitaka kugeuza pale maana niliogopa mno.

Tuwa anatisha aisee.

Nikipita kule posta ya zamani kwenye masanduku ya posta, nakuwa nina wasiwasi na yule dada mwenye ninja aliyempiga Tigga bonge la kabali*(si kabali ila kama ngumi) ya shingo na kuchukua kile kifurushi.

Tuwa anatisha aisee.
 
Huyu jamaa nilidhan demu..toa basi hio avata...uweke matara yawe ka ndo avatar...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…