Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Kwahiyo mimi ni mtoto sio?
Ok,then ....!!
Yah! ni mtoto kwa mama yako.
Kwahiyo mimi ni mtoto sio?
Ok,then ....!!
Kwahiyo wanawake kwa mama zao sio watoto?Yah! ni mtoto kwa mama yako.
Kwahiyo wanawake kwa mama zao sio watoto?
Kwa maana hiyo ukizaa tu utoto kwa mama yako unaisha sio?Akifika wakati wakuzaa sio mtoto tena ni mama, ndio maana hata mme wangu ananiita mimi mama maana anajua kuwa mwanamke ni mzazi na nina thamani ya mama muda wote na mwanamke ndio anaweza kucontrol maswala yote ya familia. aisee! hili halipingwi kabisa.
Kwa maana hiyo ukizaa tu utoto kwa mama yako unaisha sio?