M mart89 Senior Member Joined Jan 10, 2016 Posts 112 Reaction score 46 Oct 30, 2017 #1 Jamani naomba msaada kwa mwenye uelewa juu ya hii dekoda manake nimeambiwa inakamata sport24 sasa nimehangaika mpaka basi lakini hamna mafanikio. Mwenye uelew juu ya kuipata sport24 kwenye aina hii ya receicer
Jamani naomba msaada kwa mwenye uelewa juu ya hii dekoda manake nimeambiwa inakamata sport24 sasa nimehangaika mpaka basi lakini hamna mafanikio. Mwenye uelew juu ya kuipata sport24 kwenye aina hii ya receicer