THE MAYA EMPIRE
Senior Member
- May 6, 2018
- 106
- 149
Wiki jana nilipata chance km hyo but mwisho wa cku nikaambiwa lzm iwe kwa first degee. Nikaoneshwa na mifano ya watu waliochukua postgraduate na masters but wameshindwa kufanyiwa hyo kitu. Ishu inatakiwa kwa bachelor tu hyo masters utapoteza muda tuKaka habari za leo wanajukwaa
naomba ushauri toka kwako
Nataka kusoma masters na tayari nimepata kudahiliwa chuo kikuu kwa kozi ya masters of natural resorce management
Ushauri niuombao ni kwamba je,niendelee na mpango wa kuisoma hiyo kozi kwa mategemeo ya kuja kuomba recategorization baada ya kumaliza hiyo kozi kwa mwajiri wangu wa halmashauri???
Naomba hivyo kwa sababu wengi kati ya ninaoongea nao wanasema masters ni ngumu kufanyiwa recategorization labda kama nataka kusoma hiyo kozi nianze na bachelor ili baadae niombe recategorization
NAOMBA USHAURI TOKA KWANU KWA KUTUMIA UZOEFU MLIONAO
NAOMBA KUWASILISHA
Kwa kuwa nimepata udahili tayari wa masters je naweza tumia nafasi hiyo kuwaomba kusoma first degree ya kozi hiyo hiyo au inanilazimu kuanza kufanya application upya tena????Wiki jana nilipata chance km hyo but mwisho wa cku nikaambiwa lzm iwe kwa first degee. Nikaoneshwa na mifano ya watu waliochukua postgraduate na masters but wameshindwa kufanyiwa hyo kitu. Ishu inatakiwa kwa bachelor tu hyo masters utapoteza muda tu
Hapo sasa sijajua ngoja wajuzi waje.Kwa kuwa nimepata udahili tayari wa masters je naweza tumia nafasi hiyo kuwaomba kusoma first degree ya kozi hiyo hiyo au inanilazimu kuanza kufanya application upya tena????
Nidadavulie vizur hapo kiongozi,kama vile sielewi elewi etiSiku hizi kuna mdudu anaitwa Approver huko Utumishi! Mwajiri wako anaweza kukufanyia fair kabisa ila ishu ikifika kwa approver baada ya taarifa zako kujazwa kwe Lawson!!!
Unaweza kujikuta unafuta mwaka bila kuwa approved kwenye kada mpya uliyoomba!!
Nidadavulie vizur hapo kiongozi,kama vile sielewi elewi eti
Nnachojua serikalini/tamisemi hawatambui masters, wanaichukulia kama added advantage. Wao wanaitambua degree ya kwanza. Kama ungekua unafundisha chuo ndio inge matter...Nidadavulie vizur hapo kiongozi,kama vile sielewi elewi eti
Kubadilisha fani.Jamani recategorize ndio nini kwa nyie wa serekalini ?
Kama unataka sana kusoma na kufanyiwa recategorisation, ahirisha mwaka kusoma masters mwaka huu hadi mwakani. But, soma Open University degree husika year1. Ukiwa year2 na 3 hapo Open University, utasoma masters hiyo. Then, ukihitimu kotekote, baada ya mwaka tangu kuhitimu ndio utaomba kufanyiwa recategirizartion. BA-NRM itakuwa msingi wa kufanyiwa recategorization na masters itaongeza sifa zako kwny kazi mpya unayoiomba. Zingatia maelezo ya wengine pia.Kwa kuwa nimepata udahili tayari wa masters je naweza tumia nafasi hiyo kuwaomba kusoma first degree ya kozi hiyo hiyo au inanilazimu kuanza kufanya application upya tena????