Reasons why women cheat (from Yahoo) might help you guys to rescue your marriages

Would not cheater but would think again whether the marriage is worth keeping.
Nimekusoma, and I agree. when the supply doesn't meet the expectation ni frustrations tupu... na instead of making a martyr of yourself in the n ame of Kids or God knows what, then kisiri siri unacheat, bora utoke tu na ukaanze maisha mapya when you are free to date again bila kuumiza mtu.
 
Umeona eeh.

nk huoni kwamba ni busara pia pamoja na kulaumu hawa wanawake wanaocheat ifike mahali wapewe muongozo on steps za kufuata kudai hiyo talaka inawezekana kabisa wengi wao wanakosa muongozo ya nini cha kufanya and bad enough wale wanaokuzunguka wengi awe aunt,uncle mum ,dad wengi wanaishia kukuambia vumilia na mwanamke wa jamii yetu aliyeachika na watoto watu wanamchukuliaje especial hao hao wanaume .............kuna mambo mengi nyuma ya hili sio kwamba najaribu kutetea cheating lakini naamini majority ya wanawake sio wote wanaofanya hivo sio kwamba wanafurahia wanalofanya ila mtihani unakuwa kwenye kuvunja hiyo ndoa......................

Dont reserve it; tunahitaji mtazamo wako. However I agree I can't be 100% correct.
 
Lizzy wanawake wanatofautiana kutokana na personality. Kuna watu wanadhani kutakwa na kutembea na wanaume wengi ni kipimo cha kuwa bado wana mvuto. Hao ndio low self-esteem women.

Kuna dada nilimsikia anamjibu jamaa alomwambia you are so beautiful; alimpa dry " I started hearing that since I was 6 years old". Mwingine akiambiwa wewe mzuri basi anaanza kuangaika kwa mawazo; mbona mume wangu anambii mimi mzuri; basi anavua sketi. lol.

NK....pamoja na low self-esteem kwanini wasihamie kabisa huko wanakoonekana bado wanalipa/wana maana???
Ya nini kuendelea kunyanyisika nyumbani na kupata sifa nje???Wafanye huko wanapopata sifa ndio kuwe nyumbani ili self-esteem yao ikiinuliwa idumu badala ya kupandishwa kwa lisaa na kushushwa kwa masaa.
 
Kushauri process ya ku divorce ni nje ya uwezo wangu na sijawahi wala sitawahi kufanya. Huu uzi una umuhimu hata kwa cheaters na ukisoma between lines hauna lengo la kuwalaumu cheaters ila una lengo la kuwafanya wajitambue na wajiulize mara mbili why are they cheating?. Cheater akishaanza kujiuliza sababu za cheating (hasa mwanamke) am sure atagundua ni upuuzi mtupu na ataacha.

nk huoni kwamba ni busara pia pamoja na kulaumu hawa wanawake wanaocheat ifike mahali wapewe muongozo on steps za kufuata kudai hiyo talaka inawezekana kabisa wengi wao wanakosa muongozo ya nini cha kufanya and bad enough wale wanaokuzunguka wengi awe aunt,uncle mum ,dad wengi wanaishia kukuambia vumilia na mwanamke wa jamii yetu aliyeachika na watoto watu wanamchukuliaje especial hao hao wanaume .............kuna mambo mengi nyuma ya hili sio kwamba najaribu kutetea cheating lakini naamini majority ya wanawake sio wote wanaofanya hivo sio kwamba wanafurahia wanalofanya ila mtihani unakuwa kwenye kuvunja hiyo ndoa......................
 
Si mpaka huyo anayechiti nae akubali kumpokea. Utakuta mostly wanachiti na waume za watu au masharobaro ambao hawana mbele wala nyuma na wanajua fika kule pembeni ni mpango wa kando no commitment.

................good!

Chauro wangekua hawafurahii wasingefanya.
Though nakubaliana na wewe kwenye swala la mwongozo na ushawishi wa watu wa nje. Muhimu ni watu waanze kujiamini na kuishi kwaajili yao wenyewe na sio ndugu wala marafiki kwasababu kama ndo inamanyanyaso sio wao wanaoyapitia. Tatizo ni kwamba wengine hata uwaambie mimi ntakusaidia kisheria bado watasema hapana kwa kuogopa maneno na kuwadissapoint ndugu na utegemezi ofcourse.

Mwanamke anaeweza kujitegemea na anaetambua thamani yake wahezi kuishi kwenye ndoa ya mateso na isiyo na matumaini hata siku moja. Na kujiamini kunaanza kwa mtu kufikiria mwenyewe bila kutegemea watu wengine....waanze hivyo na wajitume waone kama hao waume zao hawatawaheshimu.
 
Si mpaka huyo anayechiti nae akubali kumpokea. Utakuta mostly wanachiti na waume za watu au masharobaro ambao hawana mbele wala nyuma na wanajua fika kule pembeni ni mpango wa kando no commitment.

Ndo sasa waone kwamba hawajapiga hatua mbele wala hawajafanikiwa na waache. Badala ya kujifanya wamepata kumbe wamepatikana.
 
Visingizio tu....
Kama hayo yote yanatokea mpaka wanajikuta mioyo/akili zao zinawapeleka kwingine si waombe talaka kabisa???
Ni ujinga kukaa na kulalamika alifanya hivi/akawa vile/akasema hiki ndio na mimi nikaona nitoke nje.Si uhame kabisa!!!

Sidhani.

Tumejifunza hapa kuwa cheating huimarisha uhusiano. Hapo juu Story ya Vanessa Myers (28) inaonyesha kuwa alimfumania mumewe, baadae naye akapata kipoozeo akakitumia hadi alipofumaniwa. Baada ya hapo wakaongelea mambo yao na wakapatana na kuendela na maisha.

Ndio kusema ukimfumania mwenzio akicheat na we ucheat?
 
Inategemea na tafsiri ya mtu na mtu. Hiyo case ya kwanza huyo mwanamke angekuwa na uwezo wa kujitambua asingetumia cheating kama solution ya kuwa na mume cheater. Na hata kama wame reconcile bado nina imani ameshafunguka na anajutia na wala hafurahii uamuzi wake wa kucheat kama solution ya tatizo la ndoa yake. But ameshachiti na hawezi kufuta hiyo historia.

Sidhani.

Tumejifunza hapa kuwa cheating huimarisha uhusiano. Hapo juu Story ya Vanessa Myers (28) inaonyesha kuwa alimfumania mumewe, baadae naye akapata kipoozeo akakitumia hadi alipofumaniwa. Baada ya hapo wakaongelea mambo yao na wakapatana na kuendela na maisha.

Ndio kusema ukimfumania mwenzio akicheat na we ucheat?
 
Sidhani.

Tumejifunza hapa kuwa cheating huimarisha uhusiano. Hapo juu Story ya Vanessa Myers (28) inaonyesha kuwa alimfumania mumewe, baadae naye akapata kipoozeo akakitumia hadi alipofumaniwa. Baada ya hapo wakaongelea mambo yao na wakapatana na kuendela na maisha.

Ndio kusema ukimfumania mwenzio akicheat na we ucheat?

Kwenye red unauliza au unasema???
Maana maelezo yako ya juu yanajibu swali lako kwamba ndio....mmoja akicheat na mwenzake afanye hivyo ili waimarishe uhusiano.

Well kwa mtazamo huo basi cheating is good and we should all do it....

Alafu kwa huyo dada kama unadhani ilikua sahihi yeye kucheat kwasababu mwishoni wamarudiana je siku nyingine yakitokea matatizo acheat tena kupata utatuzi??
 
Imebidi nisome tena huyo mama wa kwanza.

Naona hakuna fundisho lolote; yani mwanamke awe anachiti kutafuta mwanamume wa kumuoa baada ya divorce. Si mpaka umpate; Sana sana utaambulia magonjwa; ni wangapi wanaotembea na wake za watu wana mawazo ya kuwaoa???

Hata article yenyewe ime conclude kama nilivyo koti.

"What You Can Learn: While the confidence gained from the affair may have given her the spark she needed to get out of a bad relationship, New York City psychologist Michael E. Silverman, PhD, says if you're in an abusive relationship, deception isn't the best way to deal with it. Get help first from a trusted friend, family member, therapist or one of the numerous nationwide resources instead."

Kwenye red unauliza au unasema???
Maana maelezo yako ya juu yanajibu swali lako kwamba ndio....mmoja akicheat na mwenzake afanye hivyo ili waimarishe uhusiano.

Well kwa mtazamo huo basi cheating is good and we should all do it....

Alafu kwa huyo dada kama unadhani ilikua sahihi yeye kucheat kwasababu mwishoni wamarudiana je siku nyingine yakitokea matatizo acheat tena kupata utatuzi??
 
Let's pray together:

Father, I thank You that on the cross Jesus bore all of our rejection. He bore all of our hurts, our wounds, and our pain. So right now we claim the healing provided in the atonement and ask You to do a work in this life.

Father, I thank You that You are doing surgery in the spirit to remove the anger and bitterness! I thank You for healing this broken heart and for binding up these wounds, in the Name of Jesus.

Now devil, I command you to take your hands off this friend. You'll not torment them any longer in the Name of Jesus. You will not torment them with hurtful memories. Set this dear one free in the Name of Jesus.

Now Father, I ask that You will give this person a supernatural love for their mate in the Name of Jesus. I pray that this love will begin to rise up and get deeper and greater every day. Give this friend the vision You want them to have.

Let them see themselves and their mate together - happily married, serving You, Father. Put that vision into this heart, even now. Oh, Father, I thank You for working out every situation and every little detail of this marital situation.
 
Imebidi nisome tena huyo mama wa kwanza.

Naona hakuna fundisho lolote; yani mwanamke awe anachiti kutafuta mwanamume wa kumuoa baada ya divorce. Si mpaka umpate; Sana sana utaambulia magonjwa; ni wangapi wanaotembea na wake za watu wana mawazo ya kuwaoa???

Wengi tu hua wanaishia kudanganywa wakati bado wako kwenye ndoa zao nakupenda nyingi..achana na jamaa haziishi alafu wakiachika/acha anashangaa mwanaume hana muda nae tena hata kama alikua single tangu mwanzo. Ni wachache sana wenye ujasiri wa kumchukua mwanamke aliyecheat nae na kumfanya mke kwa sababu uwezekano wa yeye nao kua cheated ni mkubwa.
 
Na logic ni simple Lizzy; kama amemchiti mumewe wa kwanza kwako wewe una nini au ni nani usichitiwe. In short hao wanaume wanatembea na wake za watu huku kichwani mwao wanaweza kuwa wanawananga (wanawabeza)

NK kuna watu ambao wanaona mambo yako wazi kabisa ila ni kama hawaelewi vile.Wanajitia upofu!
 
Lakini kwa sababu ya zinaa, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe. Vivyo hivyo, mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu (1Wakor. 7:2-5).

Hallelujah!! Mbarikiwe na bwana!!
 
Back
Top Bottom