Ream paper zinauzwa kwa bei poa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,527
3,810
Tunauza ream paper rotatrim mondi kwa sh. 6500 kwa ream moja. Carton moja ambayo ina ream tano tunauza kwa sh 32,000 tu. Changamkia fursa hii haraka, tunapatikana hotel mabibo.

Karibuni sana
 
Mawasiliano vipi? Kila mteja ni hadi afike hapo "hotel mabibo"?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom