Realm of eternity

Ndio maana kwa kutambua hilo kuna vitu naviona havina haja ya kuving'ang'anja sana.

Mshana swali langu hili namuogopa sana Mungu na pia naogopa mno kufa. Why??? Ni Mimi tu au na wewe unahofu juu ya hivyo vitu.
 
Muheshimu mungu
Subiri kifo

Umemaliza.
 
Ndio maana kwa kutambua hilo kuna vitu naviona havina haja ya kuving'ang'anja sana.

Mshana swali langu hili namuogopa sana Mungu na pia naogopa mno kufa. Why??? Ni Mimi tu au na wewe unahofu juu ya hivyo vitu.

Uwe wa imani thabiti.. Kuishi ni Kristo... Kufa ni faida.. Hebu kasome tena hii kwa utulivu sanaa ya kifo
 
Sisi sooote ni wafu watembeawo...

Kuna ile unapiga stori na mwana, mwana anakuaga anajihisi uchovu, anaenda kupumzika kidogo. Baada ya muda unapata mwana is no more. Timeline, timeframe.

Its like tukona clock ndani yetu, ikikata unakata..no discussion.

Vipi kuhusu wale wanadead kwa mazingaombwe, mfano kuchukuliwa msukule? Timeline,timeframe??

Life is fun and misery at the same time. Wakati mwingine anazaliwa, wengine wanakata roho....wakati mwingine anapata ajira, mwingine anafukuzwa kazi.

Life has consequences and we got to live with that.

Mwanzo wa jambo moja, ni mwisho wa muendelezo wa jambo lingine.

O_2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timeline,timeframe??

Life is fun and misery at the same time. Wakati mwingine anazaliwa, wengine wanakata roho....wakati mwingine anapata ajira, mwingine anafukuzwa kazi.

Life has consequences and we got to live with that. [emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123][emoji116][emoji116][emoji116][emoji736][emoji736][emoji736]
Jr[emoji769]
 
Reactions: o_2
And who is creating these souls? ni huyu mungu wa wazungu au mungu wa babu zetu kina kingaru?
 
Realm of enternity is top dimension, the conditioned state of all known and connected . The mirror image of Eternal, God, alfa na omega . Creation and destruction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…