Nina wasiwasi sana na Mwenyekiti wa uchaguzi atakavyopokea matokeo ya kura na kubadilisha ya ccm yaende chadema na ya chadema yaende ccm itakapodhihirisha kuwa CHADEMA inaongoza kwa mbali ikifuatiwa na ccm kama itakavykuwa hapa chini ·Jakaya Mrisho Kikwete (CCM) 661................................ 12.55% ·Willibrod Slaa (CHADEMA) 4,085 .........................77.53% · Ibrahim Lipumba (CUF) 168 ...........................3.19% · Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi) 281 ............................5.33% · Mutamwega Mutahywa (TLP) 74.................................. 1.40%
NANI ATACHUNGA KURA KWA UAMINIFU? NINA WASIWASI SANA HAPA.