Wakuu poleni kwa mihangaiko ya kitafuta mkate wa kila siku
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza katika fainali itakayofanyika tarehe 3 June 2017 ya uefa champion league kati ya Real Madrid na Juventus mnafikiri nani amaweza kubeba kombe au Real Madrid ataendeleza ubabe wake na kutengeneza hostoria ya kilichukua mfululizo marambili