Real Madrid vs Athletico Madrid 22:00 Copa Del Rey

Real Madrid vs Athletico Madrid 22:00 Copa Del Rey

Atletico leo kakamatwa, mwanzo mwisho anashambuliwa
 
Hakika anceloti ni mwalimu, leo naona madrid wana accuracy katika pass. Na wanapiga pasi za kasi sana.
 
JOSE rodriguezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!! Goal.
 
Di Mariaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Final ni Barcelona vs Real Madrid, a match to watch
 
Wameshatepeta hao watakula nyingi wasipojiangalia, real wapo sawa.
 
Back
Top Bottom