Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #19,301
Real Madrid won €53.5M for winning the CL:
- 15m for winning the Final
- 20m for group stage
- 7m for semis
- 6m for quarters
- 5.5m last of 16. [abc]
Ata sub ya Marcelo pia n ttzoBinafsi sion kama tuna umuhimu wa kiungo mshambuliaji...badala yake tunahitaji kiungo mkabaji na mbadala wa benzema.....sanjal na mbadala wa uhakika aliye katika kiwango wa carvajal maana danilo hana uwezo aisee....kipa sion umuhimu wala ulazima maana wale tukio nao wako safi kabisa
Binafsi sion kama tuna umuhimu wa kiungo mshambuliaji...badala yake tunahitaji kiungo mkabaji na mbadala wa benzema.....sanjal na mbadala wa uhakika aliye katika kiwango wa carvajal maana danilo hana uwezo aisee....kipa sion umuhimu wala ulazima maana wale tukio nao wako safi kabisa
Ata sub ya Marcelo pia n ttzo
Aende aka kuze kipaji ana furahi kukalia bench tu la galatcosNacho's agent has confirmed that Roma, among other Italian clubs are interested in Nacho, but he's happy at Real Madrid. [TuttoMercatoWeb]
Aende aka kuze kipaji ana furahi kukalia bench tu la galatcos
Uko sahihi lakini hii ya Casemiro kumpisha Kroos bado sijaikubali hata kama mfumo ni wa kushambulia zaidi.According to the rumours, Pogba anahitajika kuongeza possession ili kuwe na mashambulizi ya kutosha. Na kama kuna mashambulizi ya kutosha beki itakuwa na muda wa kupumua. Modric atabaki pale pale wakati Kroos atakuwa anapokezana Casemiro kama DM. Fábio Coentrão anarudi kuwa back up ya Marcelo. Vile vile kuna uwezekano wa lonee mmoja labda Álvaro Medrán au Jesus Ballejo akapata promotion pamoja na Marco Asensio (Hii itategemea na pre-season itakuwaje). Swala la striker anasubiriwa Zizou akisema tu, Perez anabomoa benki. Kuhusu magolikipa, news of the day zinasema watabaki wale wale.
Tusubiri tu tuone itakuwaje. In Zizou we trust.
Sizitaki mbichi hizi...haya angeyasema mara tu baada ya ile mechi.News: Real don't want De Gea.
De Gea: "Atletico probably deserved to win the Champions League more than Real Madrid."
Jose anataka vita na wana Santiago!! Haya ngoja tuone mwisho wake.AS | War for Pogba. Jose Mourinho will offer €100m, but Juventus will ask for €120m.