Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Hawa vijana walifanya vizur sana walikokua kwa mkopo, japo Rayo ilishuka daraja ila Diego alifanya vizur tu, wanasatahili kubwa uzi mweupe msimu ujao!!Marco Asensio and Diego Llorente will most likely stay with Real Madrid as first team players for next season. [COPE]
Huo uwezekano unaweza kuwepo, sababu nimeona Kila Perez akiulizwa kuhusu usajili anamtupia zigo Zizou., Ngoja tusubiri harakati ya usajili zikipamba moto, kwanza ninasubiri kuona kama De Gea atasajiliwa kabla ya hiyo tarehe iliyotajwa hapo juu..Nategemea Zizou kutumia maamuzi ya busara, maana kuna tetesi kuwa amepewa jukumu la usajili msimu huu. Kama kweli Perez akikaa pembeni kwenye mambo ya ufundi itakuwa poa tu.
Agents wanazingua sana Aisee, sana..Hasa yule Jorge Mendes, anakuwa tajiri kwa ufitina tu. Yule jamaa ni manipulative sana, umesema kweli, sasa nimegundua nani ndio yuko nyuma ya hizi drama kwenye media.
haahahahaha.Marca | "Pepe: Madrid taught me to never give up."
Top talent.Fact: Lucas Vazquez has never represented his national team at any youth level and he is going to Euros directly. #GoldenBoy
Kaanza na kadi ya njano?!Casemiro played 90' min for Brazil National Team in their 1st game in Copa America, Brazil 0-0 Ecuador.