Daniel Cleverest
Senior Member
- Sep 27, 2014
- 105
- 123
mwakani hamfiki nusu fainali, ndio maana La liga mnaisikia kwenye Sports Extra tu
Nilikuwa namu-underrate huyu jamaa kipindi cha Benitez
Marcelo ana vituko kweli, Kila sehemu hapakosekani kituko.,
Mwenyew nilishindwa kuangalia penalty haswa nilivyoona anaenda kupiga Vasquez, cha kushangaza hata Oblak hakuweza hata kusogea!! Kiukwel ufunguzi wake ulikua wa Baraka, waliofuata wote walipiga penalty zao upande ule ule!!Brilliant anecdote about Lucas Vázquez's penalty in Milan, and the impact it had on the players. [@manueljabois]
Kwa upande wangu sioni sababu ya kuwasajili hawa watu sababu tuna wachezaji wazuri tu wenye viwango almost kama vyao., kunatakiwa striker wa kumchallenge Benzema ila asiwe wa bei ghali kihivyo., kama Morata hafai basi asajiliwe Auba.Zidane doesn't want many signings, but he wants good ones. The club is interested in Lewandowski, Dybala, and Pogba. [@eduardoinda]