Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hahaha, huyu jamaa sijui mpemba huyu! Ukicheki vizuri kule nyuma kuna jamaa mwingine kashika chupa ya bia. Inaelekea photobomber walikuwa kibao

Ubingwa huu umekosa ladha flani alikuwa anaileta Iker, na shabiki wetu number moja, Marcus Slaughter. Niliwa-miss for sure.
 
Huyu jamaa wa upande wa kulia wa Zidane anaitwa Hamidou Msaidie, ni French national. Huyu ni mmoja wa Real Madrid staff. Sasa hili jina la Msaidie sijui kalitoa wapi, sijui jamaa wa Kilwa huyu.

 
Cc PNC 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…