Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #18,581
Yaani mimi, homa ya mpambano inaongezeka kadri masaa yanavyoenda, ila hope tutakua na usiku mzuri hiyo jumamosi.........#halamadrid !!
Yaani mimi, homa ya mpambano inaongezeka kadri masaa yanavyoenda, ila hope tutakua na usiku mzuri hiyo jumamosi.........#halamadrid !!
Milan inafata....Guissepe MeazzaAll Cities where Real Madrid won their 10 European Cups:
Paris - 2
Madrid - 1
Brussels - 2
Stuttgart - 1
Glasgow - 2
Amsterdam - 1
Lisbon - 1
Ni kweli Mkuu, kama ada watakua wanabaki nyuma, then wanapiga counter attack., cha muhimu ni vijana wetu kuwa makini wakati wote..., wakitangulia kutufunga wale watatusumbua sana kusawazisha.Mkuu perfomance ya Simeone inajulikana, hakuna surprise pale. Mi nategemea kuona good football tu.
Ni kweli Mkuu, kama ada watakua wanabaki nyuma, then wanapiga counter attack., cha muhimu ni vijana wetu kuwa makini wakati wote..., wakitangulia kutufunga wale watatusumbua sana kusawazisha.