Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #18,041
Real Madrid go into Sunday's match against Valencia with ten straight La Liga wins!
Naukubali sana uwezo wake. Lately amepotea, sijui kwanini.
Hawa jamaa ndio walituanzishia gundu last season. Mpaka tunakutana nao, tulikuwa Na straight 22 wins in all competitions, best team in the world. Wakatuchapa, and nothing was ever the same again.
This time around, na fitness ya some of our key players, sijui kama tunatoka. It's not like it matters anyway, sioni Barca na Atleti wakipoteza games zao zilizobaki kwenye ligi.
22 straght win lakini nikwambie, I was not happy with perfomance in general. Kila siku nilikuwa nasema na kweli yakatokea. The team was not stable, tulikuwa tunaruhusu magoli kirahisi sana. Carvajal alitusaidia sana, alikuwa anacheza mpaka namuona huyu saa yoyote watamvunja.
Sasa hivi defence yetu imetulia, hata hivyo Valencia sio wakubezwa
*Arbeloa fans will be saying farewell to Arbeloa. The rest of us will be celebrating not having to see the cone at La Casablanca anymore.
He will play his last home game against Valencia. Not for La Liga, but we have to win this game anyway. Valencia is a strong side, and I'm worrying Arbeloa is no Carvajal. If he'll start we're dead!
Hongereni kwa kuingia Fainali.
Asee, hii biashara kubwa sana.