Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #17,821
Mpira unadunda!!!!City ni light timu akiwepo Cr7
Alafu ni official wa timu yake,Simeone anaweza kufungiwa na UEFA kwa kumpiga kibao kamisaa
Aliona anachelewa kufanya sub la liga kwny kashapigwa ban hadi mwisho wa msimuAlafu ni official wa timu yake,
Sijui ni midadi au kitu gani?
Alafu ni official wa timu yake,
Sijui ni midadi au kitu gani?
Ila kwa game nikiyoiona jana uhakika wa uahindi upo final kama tutapita leo.Jamaa ndio alivyo yule, dirty game yeye na wachezaji wake. Pale alikuwa anapoteza muda. Tukikutana Milano ni kumpigia mpira dakika 90 tu.
He is desperate, just leave him alone...Pep Guardiola: The other semi final? "I want Manchester City to win against Real Madrid”