Daniel Cleverest
Senior Member
- Sep 27, 2014
- 105
- 123
Upo sahihi kabisa mkuu....benzema nje ya 18 leo kacheza vzr ila akiingia kwenye 18 anakosa utulivu...bale leo anabinukabinuka tu...hapa aingizwe jesse au lucas.....timu kwa ujumla haitakiwi kurudi nyuma...maana kuna kama dakika kumi hv tulirudi nyuma afu tatizo tukirudi nyuma timu inapoteza uelekeo kabisa....Benzema sijui anapiga mpira vipi! Bale nae kapoteza mipira mingi sana kipindi hiki cha kwanza.
Upo sahihi kabisa mkuu....benzema nje ya 18 leo kacheza vzr ila akiingia kwenye 18 anakosa utulivu...bale leo anabinukabinuka tu...hapa aingizwe jesse au lucas.....timu kwa ujumla haitakiwi kurudi nyuma...maana kuna kama dakika kumi hv tulirudi nyuma afu tatizo tukirudi nyuma timu inapoteza uelekeo kabisa....
PSG are shit, boring football, kuna yule mweusi mwenzetu aurier ni jipuIn other game, Man City 0 - 0 PSG. (Aggregate 2 - 2). Sergio Aguero missed the penalty.
PSG are shit, boring football, kuna yule mweusi mwenzetu aurier ni jipu